Idara ya afya kaunti ya Kisii yajitahidi kuhakikisha kila kijiji kina choo

  • | Citizen TV
    236 views

    Idara ya afya kaunti ya Kisii imeelezea hatua kubwa ambazo zimepigwa kuhakikisha kila boma limepata choo ili kuzuia maambukizi ya magonjwa ya kipindupindu hususan wakati huu wa mvua ya El Nino . Mwanahabari wetu Chrispine Otieno anaungana nasi mbashara kutoka Kisii na mengi zaidi kuhusu umuhimu wa jamii kujenga vyoo huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya vyoo duniani.