16 Dec 2025 1:24 pm | Citizen TV 271 views Duration: 1:48 Serikali ya Kaunti ya Baringo, kwa ushirikiano na Serikali ya Kitaifa, imezindua mpango wa chanjo ya mifugo kwa wingi ili kudhibiti magonjwa ya miguu na mdomo.