Idara ya polisi ingali inaongoza kwa ufisadi nchini

  • | Citizen TV
    69 views

    Idara ya polisi ingali inaongoza kwa ufisadi na utovu wa maadili. Hayo ni kwa mujibu wa ripoti ya tume ya maadili na kupambana na ufisadi EACC ambayo iliorodhesha shirika la ukusanyaji ushuru KRA na machifu kuwa na ufisadi wa kiwango cha juu