Idara ya Uhamiaji yafurusha raia wa Nigeria wanaohusika ulanguzi wa mihadarati.

  • | K24 Video
    143 views

    Idara ya uhamiaji imewafurusha nchni raia wa kigeni wanaodaiwa kuhusika na ulanguzi wa mihadarati na uhalifu wa aina mbalimbal. Kupitia taarifa kwa vyombo vya habari, idara hiyo inadai raia waliofurushwa na kutangazwa hawatakiwi kuwa kenya wamehusishwa na matukio tofauti ya uhalifu na hivyo ni tishio kubwa kwa usalama..