- 17,309 viewsDuration: 1:54Idara ya utabiri wa hali ya hewa imetoa onyo ya kushuhudiwa kwa mvua kubwa katika sehemu kadhaa humu nchini kuanzia leo hadi Jumatatu, mvua hiyo ikitarajiwa kuanza kupungua tarehe 30 mwezi huu. Miongoni mwa maeneo yaliyotahadharishwa ni pamoja na Bonde la Ufa, Ziwa Victoria na eneo la Pwani. Wakazi wa maeneo hayo wametakiwa kuwa makini kutokana na uwezekano wa kushuhudiwa mafuriko. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive