Skip to main content
Skip to main content

IEBC yaanza kusambaza vifaa vya uchaguzi kutoka Nairobi kuelekea vituo mbalimbali vya kupigia kura

  • | NTV Video
    8 views
    Tume huru ya uchaguzi na mipaka (IEBC) imeanza kusambaza vifaa vya uchaguzi kutoka ghala lake kuu jijini Nairobi kuelekea vituo mbalimbali vya kupigia kura kabla ya uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika siku ya alhamisi wiki ijayo. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya