IEBC yaanza kuskiliza kesi zilizotokana na shughuli iliyokamilika ya uadhinisho wa wagombea wenza

  • | K24 Video
    35 views

    Tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini, IEBC imeanza kusikiliza kesi zilizotokana na shughuli iliyokamilika ya kuwaidhinisha wagombea mbali mbali katika uchaguzi mkuu wa Agosti 9 mwaka huu. Hii ni baada ya mwenyekiti wafula chebukati kubuni majopo matatu ya kusikiliza jumla ya kesi 262 katika siku 10 zijaz