- 847 viewsDuration: 2:48Tume ya Uchaguzi nchini IEBC imepokea karatasi na vifaa vya kupigia kura kwa uchaguzi mdogo wa eneo bunge la Emurua Dikirr unaotarajiwa kufanyika siku ya Alhamisi. Uchaguzi pia unatarajiwa siku hiyo katika maeneo mawili ya wodi eneo la Elgeyo Marakwet. IEBC imeahidi uchaguzi huru na wa haki.