- 149 viewsDuration: 50sTume huru ya uchaguzi na uratibu wa mipaka IEBC, imepuuza madai kuwa sajili ya wapigakura ya eneobunge la ol kalou imehitilafiwa. akizungumza na wanahabari hapa jijini nairobi, mwenyekiti wa tume hiyo erastus ethekon amewakikishia wakazi kuwa uchaguzi huo mdogo wa alhamisi utakuwa huru na wa haki.