Skip to main content
Skip to main content

IEBC yapuuza madai ya wizi, yahakikishia Magarini uchaguzi huru

  • | Citizen TV
    1,814 views
    Duration: 2:55
    Tume ya uchaguzi na mipaka iebc imepuuzilia mbali madai ya njama za wizi wa kura katika uchaguzi mdogo wa eneobunge la Magarini kaunti ya Kilifi. Tume hii badala yake ikiwahakikishia wakaazi uchaguzi utakaokuwa huru na wa haki licha ya wanasiasa kuelekezeana lawama kuhusu uchaguzi huu wa alhamisi.