- 1,017 viewsDuration: 3:13Mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi na uratibu wa mipaka Erastus Ethekon amesema kwamba IEBC itamchukulia hatua mtu yeyote atakayevunja sheria za uchaguzi ikiwemo kuwahonga wapigakura, wizi wa kura au kuzua fujo miongoni mwa makosa mengine. Kulingana naye, maafisa wote wa tume hiyo wako tayari kuendesha uchaguzi mdogo ulio huru na wa haki katika maeneo 24 hapo kesho.