- 374 viewsDuration: 2:47Tume ya uchaguzi nchini IEBC sasa inasema haitaongeza muda wa kuwasajili wapiga kura, ikiwataka wakenya kutumia juma moja lililosalia kujisajili. IEBC imesema haya huku mbunge wa embakasi west mark mwenje akiitaka tume hiyo kujibu madai kuwa baadhi ya wapiga kura kutoka kaunti ya nairobi wamewekwa katika orodha ya wapiga kura wa kaunti ya Garissa.