Skip to main content
Skip to main content

IEBC yasisitiza usajili endelevu kuelekea uchaguzi mkuu

  • | Citizen TV
    227 views
    Duration: 1:09
    Tume ya uchaguzi na mipaka IEBC imesisitiza kuwa hakuna Mkenya yeyote atakayenyimwa nafasi ya kushiriki uchaguzi mkuu ujao, ikieleza umuhimu wa usajili endelevu unaoendelea kote nchini. Tume hiyo kupitia kaimu afisa mkuu mtendaji Moses Sunkuli imewataka Wakenya wengi zaidi kujitokeza kujisajili. Sunkuli alisema hayo kwenye kikao cha kamati ya bunge kuhusu utekelezaji wa Katiba.