Skip to main content
Skip to main content

IEBC yathibitisha utayari kwa uchaguzi mdogo wa Ol Kalou

  • | Citizen TV
    1,049 views
    Duration: 5:32
    Tume ya IEBC imesema iko tayari kuandaa uchaguzi mdogo wa Ol kalou hapo kesho. Tume hiyo imesema itahakikisha uchaguzi huo ni wa huru na kila mpiga kura atapata haki ya kupiga kura katika vituo vilivyosajiliwa. Aidha tume hiyo imesisitiza kuwa hakuna orodha mpya ya wapiga kura itakayotumika isipokuwa ile iliyokuwepo kufikia wakati ambapo mbunge wa eneo hilo alipofariki. Wananchi wamehimizwa kuzingatia amani na kusubiri matokeo baada ya uchaguzi huo kukamilia