- 2,175 viewsDuration: 2:57Tume ya uchaguzi nchini imezindua rasmi zoezi la usajili wa wapiga kura nchini, ikilenga kuwasajili wapiga kura wapya milioni 6.3 kabla ya uchaguzi mkuu ujao. Uzinduzi wa zoezi hili ulifanywa Kajiado, ambapo IEBC imetangaza kuwa kwa mara ya kwanza watatumia teknolojia ya utambuzi wa mboni ya jicho kukusanya deta za wapiga kura wapya