Skip to main content
Skip to main content

Ifahamu China I China kukamilisha ujenzi wa mtandao wa reli wa kisasa

  • | KBC Video
    2,357 views
    Duration: 2:49
    China inalenga kukamilisha kwa kiasi kikubwa ujenzi wa mtandao wa reli wa kisasa na wa kiwango cha juu duniani kufikia mwaka 2030. Kwa mujibu wa Shirika la Reli la China, mradi huu unatarajiwa kuimarisha kwa kiwango kikubwa muunganisho wa kikanda. Maelezo zaidi ni katika Makala kuhusu ifahamu China. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive