Skip to main content
Skip to main content

Ifahamu China I Mchezo wa Usiku

  • | KBC Video
    8 views
    Duration: 2:29
    Umaarufu wa michezo ya usiku umechochea pakubwa ukuaji wa uchumi katika mji wa Chengdu, mkoani Sichuan kusini magharibi ya China. Mbali na kuhamasisha kuhusu umuhimu wa mazoezi, michezo hiyo pia imeongeza matumizi ya pesa katika biashara mbalimbali zinazofunguliwa nyakati za usiku.