- 115 viewsDuration: 15:35Katika muda wa miaka 30 iliyopita, China imekuwa ikifanya juhudi za kudhibiti kuenea kwa jangwa, na kufanya ardhi ya jangwa itumike kwa manufaa. Katika mkoa wa Ningxia mafanikio ya juhudi hizo yanaonekana, ambako mbali na kutumia mbinu za kisayansi za kupanda mimea jangwani inayozuia jangwa lisipanune, kumekuwa na uwekaji wa paneli za jua ili kuzalisha umeme, na hata kufanya shughuli za kilimo na ufugaji chini ya paneli za jua. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News