Maonyesho ya 138 ya Canton, yanayofanyika mjini Guangzhou kusini mwa China, yamevutia umati mkubwa wa wageni na kizazi kipya cha wafanyabiashara. Wafanya biashara waliozaliwa baada ya mwaka 2000 almaarufu Gen Z wanaleta teknolojia mpya, ubunifu, na uelewa wa kimataifa katika uwanja wa biashara nje ya China.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive