- 118 viewsDuration: 3:08Akili Unde inaendelea kubadili ulimwengu kwa kasi, huku mataifa yakitafuta njia bora za kutumia teknolojia hiyo kwa manufaa ya watu wote. Hayo ni baadhi ya masuala yanayojadiliwa katika Mkutano wa Dunia wa Akili Unde unaoendelea mjini Shanghai nchini China.Tupate taslifu kwa kina katika makala ya Ifahamu China. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive