- 252 viewsDuration: 2:46Uchina imeimarisha ustawi wake wa kidijitali huku kiwango cha matumizi ya Intaneti kikifikia asilimia 80 nchini humo. Hatua hiyo inadhihirisha ukuaji wa kasi wa uchumi dijitali na matumizi ya teknolojia katika maisha ya kila siku. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive