Utalii wa kilimo nchini China unabadilisha vijiji kwa kuwianisha kilimo, utamaduni na teknolojia. Kijiji cha Moganshan kimegeuka kutoka kijiji cha milimani na kuwa kitovu cha utalii chenye nyumba za wageni za kifahari, wawekezaji wa kimataifa na mapato ya mabilioni. Maelezo kamili katika Makala ya Ifahamu China
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive