'Inasikitisha kuona kanisa langu likiharibiwa'

  • | BBC Swahili
    818 views
    Wakristo wa Sudan wamejikuta wakinasa katikati ya vita vilivyozuka kati ya jeshi la Sudan na Vikosi vya RSF. Kumekuwa na madai kwamba Wakristo wamekuwa wakikabiliwa na mashambulizi ya kidini, huku makanisa yakivamiwa na kuharibiwa katika siku za mwanzo za vita. Mwaka mmoja sasa, wengi wao tayari wameweza kukimbia nchi, lakini wengine bado wanasubiri kuondoka. #bbcswahili #Sudan #vita Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw