Indonesia: Rais Joe Biden na Rais Xi Jinping wajadili kuimarisha ushirikiano

  • | VOA Swahili
    421 views
    Baada ya miezi kadhaa ya mivutano kati ya Marekani na China juu ya mambo kadhaa ambayo mataifa hayo yanatofautiana ikiwemo suala la Taiwan, Rais Joe Biden and Rais Xi Jinping walikutana Bali, Indonesia pembeni ya Mkutano wa G20 walisema Washington na Beijing zinajukumu la pamoja kuonyesha dunia wanaweza kukabiliana na tofauti zao kwa kuzuia mashindano kugeuka kuwa ugomvi. Endelea kumsikiliza mwandishi wetu akikuletea repoti kamili... - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.