Infotrak yawasilisha maoni ya wananchi baada ya mwaka moja ya uongozi wa rais Ruto

  • | Citizen TV
    1,761 views

    Huku maadhimisho ya mwaka mmoja tangu rais william ruto kuchukua hatamu za uongozi, kampuni ya utafiti ya Infotrak imekusanya maoni ya wananchi kuhusu utendakazi wa rais ruto na baraza lake la mawaziri. utafiti huo unaangazia maoni ya wakenya kuhusu taifa linavyoendeshwa, utendakazi wa serikali, mawaziri wanaotekeleza majukumu yao, na wizara ambazo zinaonekana kutoa huduma ipaswavyo kwa wananchi.