Ingwe yasalia katika nafasi ya sita

  • | Citizen TV
    445 views

    Timu ya AFC Leopards imetoka sare tasa na timu ya FC Talanta kwenye mechi ya ligi kuu ya taifa katika uwanja wa kitaifa wa nyayo alasiri ya leo.