Inspekta Jenerali wa Polisi Japhet Koome ajiuzulu

  • | K24 Video
    174 views

    Huku joto la uwajibikaji likizidi kukumba serikali , Inspekta Jenerali wa polisi ni muathirika wa hivi punde aliyelazimika kujiuzulu kufuatia ukatili wa polisi dhidi ya waandamanaji. Rais Wiliam Ruto ametangaza kujiuzulu kwa koome siku moja tu baada ya kulivunja baraza lake la mawaziri. Naibu inspekta jenerali Douglas Kanja anachukua mikoba kama kaimu Inspekta Jenerali.