Ipi hatma ya vita vya Israel na Iran? Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    6,810 views
    Rais wa Marekani Donald Trump amezikemea Iran na Israel kutokana na madai kwamba mataifa hayo mawili yameshindwa kuheshimu makubaliano ya kusitisha mapigano yaliyoasisiwa na Marekani saa chache baada ya kuanza utekelezaji wake.