IQRA FC imenyakuwa ubingwa kwa mchuano wa Golden Cup wakiilaza Bafana kaunti ya Kwale

  • | Citizen TV
    247 views

    Timu ya IQRA FC iliibuka mabingwa wa mchuano wa Golden Cup kaunti ya Kwale baada ya kuilaza Bafana kupitia matuta ya penalti.