Skip to main content
Skip to main content

Iran yaanzisha mashambulizi mapya Bahrain, Jordan na Erbil. Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    32,736 views
    Duration: 28:10
    Iran imesema imetekeleza mashambulizi ya ndege zisizo na rubani kwenye vituo na kambi za kijeshi za Marekani huko Jordan na Bahrain, katika kujibu mashambulizi mengine ya anga ya Marekani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw