- 52,227 viewsDuration: 2:44Kwa nini Iran inaona makubaliano yake mapya na Marekani kama ushindi badala ya kushindwa? Kwa Iran, mafanikio makubwa hayakuwa kuishinda Marekani au Israel vitani. Lengo lilikuwa kustahimili mashambulizi, kulinda utawala wake, na kutoka kwenye vita bila kulazimishwa kujisalimisha Mwandishi wa BBC @mariammjahid na taarifa zaidi - - #bbcswahili #marekani ##foryou #Israel #iran Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw