Israel kuendelea na mashambulizi dhidi ya Hamas Rafar

  • | VOA Swahili
    254 views
    Israel inasema kuwa inasonga mbele na mipango ya mashambulizi ya jeshi ya ardhini katika mji wa Rafah huko Gaza ili kuwang'oa wapiganaji wa Hamas, wakati huu ambapo wapatanishi wanaendelea na mazungumzo mapya ya sitisho la mapigano ikiwa ni miezi mitano ya vita, huku wakitoa wito wa kuachiliwa kwa mateka zaidi wanaoshikiliwa na Hamas. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.