Skip to main content
Skip to main content

Israel na Lebanon zatarajiwa kushiriki katika mazungumzo zaidi huko Washington. Dira ya Dunia

  • | BBC Swahili
    34,026 views
    Duration: 28:10
    Balozi wa Marekani huko Beirut, Michel Issa asema Israel na Lebanon zinatarajiwa kushiriki katika mazungumzo zaidi huko Washington hivi karibuni, licha ya kuongezeka kwa mashambulizi ya kijeshi Kusini mwa Lebanon. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw