- 16,083 viewsDuration: 2:25Jeshi la Anga la China limeendelea kuonyesha nguvu zake kupitia ndege za kisasa aina ya J-10C, ambazo zimekuwa sehemu muhimu ya mazoezi makubwa ya kijeshi yanayofanyika katika mazingira yanayofanana na vita halisi. Je ndege hizi zinauwezo gani? #bbcswahili #China #ndegeyakijeshi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw