Skip to main content
Skip to main content

Jacob Ochola Mwai anataka kujumuishwa miongoni mwa warithi wa Kibaki

  • | KBC Video
    6,237 views
    Duration: 2:59
    Kesi ambapo Jacob Ochola Mwai anapinga wosia wa hayati Rais Mwai Kibaki akidai kuwa mwanawe marehemu, iliendelea hivi leo, huku akielezea mahakama kuhusu uhusiano wake wa karibu na marehemu. Jacob alimweleza jaji Eric Ogola jinsi alivyokutana na babake kwa mara ya kwanza mnamo mwaka wa 1982 wakati akiwa na umri wa miaka 22, na mikutano iliyofuatia ya mara kwa mara baina yao. Na kama anavyoripoti Ruth Wamboi, Mahakama pia ilifahamishwa kwamba mnamo mwaka wa 2016, Kibaki alimhakikishia Ochola kwamba angemkabidhi barua kuelezea mgao wake wa urithi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive