Jaji Mkuu Koome adai SRC inaingilia uhuru wa mahakama

  • | Citizen TV
    2,869 views

    Jaji Mkuu Martha Koome ameshtumu tume ya kutathmini mishahara ya wafanyikazi wa umma SRC kwa kile amekitaja kama kuhitiliafiana na kazi ya tume ya huduma kwa mahakama JSC katika kuratibu mishahara ya maafisa wa idara ya mahakama. Akisoma hotuba ya Koome katika kongamano la majaji na mahakimu huko Mombasa Naibu Jaji Mkuu Philomena Mwilu, alisisitiza kuwa hatua ya SRC inaingilia uhuru wa idara ya mahakama kwa kuweka vikwazo vya fedha vinavyohitilafiana na oparesheni za mahakama.