- 192 views
Jaji mkuu Martha Koome ameitikia wito wa kuteua jopa la majaji 3 watakaosikiza na kuamua kuhusu kesi sita zilizowasilishwa mahakamani zikipinga kubanduliwa afisini kwa naibu rais Rigathi Gachagua. Majaji walioteuliwa ni pamoja na jaji Erick Ogolla, Anthony Mrima na Frida Mugambi. Wakati wa kusikizwa kwa kesi hizo jaji Erick Ogolla ndiye atakayeongoza jopo hilo.hata hivyo tarehe ya kuanza rasmi kusikizwa kwa kesi hizo bado haijatolea. haya yanajiri huku vikao vya kusikizwa kwa kesi zinazomuandama naibu rais vikitarajiwa kuanza rasmi siku ya Jumatano na alhamisi seneti. Wakati huohuo, naibu rais Rigathi Gachagua ameitaka mahakama kusimamisha vikao vya seneti vya kusikiza kesi inayomuandama ya kubanduliwa kwake afisini. Gachagua anadai kuwa mahakama inauwezo wa kusimamisha vikao hivyo na bunge lilikosea kuelekeza kesi yake katika bunge la seneti.
Jaji mkuu Martha Koome aitikia wito wa kuteua jopa la majaji 3 watakaosikiza kesi ya naibu rais
- 6 Jul 2025 - Japan's government on Saturday warned of more possible strong earthquakes in waters southwest of its main islands, but urged the public not to believe unfounded manga comic-book predictions of a major disaster.
- 6 Jul 2025 - Traders affected by the recent demonstrations held in honour of victims of last year’s anti-Finance Bill protests are now struggling to rebuild their lives and livelihoods.
- 6 Jul 2025 - Deputy President Kithure Kindiki and other leaders backing the broad-based government have intensified attacks on the opposition, calling for unity to heal the nation.
- 6 Jul 2025 - The High Commission of Rwanda in Kenya has marked 31 years of liberation — a commemoration of the country’s remarkable transformation, from a painful past under an oppressive regime to a future defined by unity, progress, and resilience.
- 6 Jul 2025 - Kenya today: An angry nation sliding towards self-destruction
- 6 Jul 2025 - 35 years later, Saba Saba continues: Meeting of different generations, same script
- 6 Jul 2025 - Parliament's CDF coup: The Senate should halt this constitutional heist
- 6 Jul 2025 - Opposition leaders slam Ruto over state house church plans
- 6 Jul 2025 - Saba Saba's long harvest and why struggle is never wasted
- 6 Jul 2025 - Joho leads Coast MPs in Ruto campaign