15 Aug 2025 7:40 am | Citizen TV 3,832 views Duration: 2:34 Jaji Mkuu Martha Koome ametetea uhuru wa idara ya mahakama akisema kamwe haitayumbishwa na shutuma kuhusu utendakazi wake. Koome akitoa hakikisho kuwa majaji wataendelea kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia katiba