18 Dec 2025 7:47 pm | Citizen TV 5,796 views Duration: 1:48 Jaji wa mahakama ya upeo Mohammed Ibrahim amezikwa leo katika makaburi ya waislamu ya Kariakor hapa jijini Nairobi