Jamaa na wanahabari wahudhuria ibada ya wafu ya Rita Tinina, Nairobi

  • | Citizen TV
    2,481 views

    Jamaa, marafiki na wanahabari nchini wamemuomboleza marehemu Rita Tinina kama mwanahabari shupavu na mfanyikazi wa kutegemewa katika kila taarifa aliyoandaa. Wanahabari kutoka vituo mbalimbali nchini walifurika kwenye misa ya wafu iliyoandaliwa katika kanisa la Holy Family Basilica asubuhi ya leo kabla ya mazishi yake Jumatano.