Skip to main content
Skip to main content

"Jamii imemtengeneza mwanaume kama mtu anayetakiwa kuteseka"

  • | BBC Swahili
    1,859 views
    Duration: 24:17
    John Magoda ni mwalimu katika shule ya msingi ya watoto wenye mahitaji maalumu iliyopo jijini Arusha. Katika siku za hivi karibuni, amejizolea umaarufu mkubwa kupitia mitandao ya kijamii kwa hotuba zake zinazolenga kuwapa mwongozo na nguvu kina mama katika malezi ya watoto wa kiume. @martha_saranga amefanya mahojiano maalum na @mwl.magodajr ambaye pia ni Mwandishi wa kitabu cha ‘Boys Code’ na kuandaa taarifa hii. Tembelea ukurasa wetu wa YouTube ili kutazama mahojiano hayo kwa kina. 🎥: Frank Mavura #bbcswahili #Elimu #malezi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw