Skip to main content
Skip to main content

Jamii ya Endrois kaunti ya Baringo yapongeza mahakama juu ya uamuzi wake wa arthi yao Arabel

  • | Citizen TV
    279 views
    Duration: 2:16
    Jamii ya Endrois inayoishi katika Kaunti ya Baringo imepongeza uamuzi wa Mahakama ya Nakuru wa kufutilia mbali agizo la serikali kuhusu ardhi yao ilioyoko eneo la Arabel, Baringo Kusini.