- 503 viewsDuration: 4:13Jamii ya Iteso inayopatikana Magharibi mwa Kenya ni mojawapo ya jamii chache humu nchini ambazo zinadumisha utamaduni na mila zao . Jamii hiyo inayoaminika kutoka nchini Ethiopia, ina idadi ya watu takriban laki sita Magharibi mwa Kenya na wenzao milioni tatu nukta tano mashariki mwa nchi jirani ya Uganda, watu hao wakiwa na mila zinazooana