10 Nov 2025 10:50 am | Citizen TV 112 views Duration: 1:34 Jamii ya Maasai kaunti ya Taita Taveta imesema itazingatia zaidi elimu kwa watoto wao baada ya kubainika kuwa wengi hukosa nafasi ya kupata elimu.