Jamii ya Turkana na Pokot zakutana ili kutafuta amani ya kudumu katika bonde la Suguta

  • | K24 Video
    27 views

    Jamii ya Turkana na Pokot zimekutana ili kutafuta amani ya kudumu katika bonde la Suguta hasa katika eneo la Kapedo. Eneo hilo limekuwa likishuhudia umwagikaji damu kwa muda. Jamii hizo mbili kama anavyoarifu winnie tuitoek zimekubaliana kuzika tofauti zao na kudumisha utangamano.