- 527 viewsDuration: 3:31Jamii ya wafugaji ya wa samburu imezidi kukumbatia Mila ya wazee kutumia maziwa ya kuganda ya mbuzi kutabiri Hali ya hewa na kuiwezesha Jamii kujipanga. Na kama Mwanahabari wetu Bonface Barasa anavyoarifu utabiri huo umeingiliana na ule wa wataalamu wa utabiri wa hali ya anga, waliotabiri kuwa maeneo ya Samburu kaskazini na Mashariki yatashuhudia mvua za vuli kipindi Cha mwezi Oktoba, Novemba na Disemba wafugaji wakitakiwa kutahadhari.