28 Oct 2025 10:34 am | Citizen TV 516 views Duration: 1:42 Jamii ya Wasomali katika kaunti ya Taita Taveta imesema itaungana na jamii zingine ili kuangazia matatizo yanayokumba vijana hasa suala la ukosefu wa ajira na kudorora kwa viwango vya elimu.