Skip to main content
Skip to main content

Jamii yataka uchaguzi wenye amani Garissa na Tana River

  • | Citizen TV
    133 views
    Duration: 1:43
    Viongozi wapya waliochaguliwa kuongoza jamii ya Agikuyu wanaoishi katika kaunti ya Garissa na Tana River wameahidi kuleta jamii hiyo pamoja na kushirikiana na jamii zingine ili kufanikisha mshikamano wa jamii zote eneo hilo. Viongozi hao wamesema uchaguzi huo ambao ulikuwa wa uwazi na amani, utumike kama kielelezo kwa wanaowania viti vya kisiasa kwenye uchaguzi mkuu ujao. Aidha wamehimiza wakuu wa usalama kuchukulia hatua wanasiasa wanaotumia vijana kuzua vurugu kwa mikutano ya kisiasa wakati huu mihemko ya kisiasa inaposhuhudia.