7 Apr 2026 1:39 pm | Citizen TV 2,651 views Duration: 3:11 Uhasama uliokuwepo baina ya kijiji cha Mbwajumwali na Kizingitini Kisiwa cha Pate kaunti ya Lamu hatimaye umefikia kikomo baada ya wazee kutoka pande zote za vijiji hivyo kufanya kikao na kusameheana.