Jamii za wafugaji zazamia kilimo Samburu

  • | Citizen TV
    230 views

    Wafugaji katika eneo la Wamba Samburu mashariki,wameanza kukumbatia kilimo mseto,kama njia moja ya kupiga teke makali ya njaa. Wakulima hao wanasema hatua hiyo imewawezesha kukabili tatizo la utapia mlo.